Morrison afungiwa mechi mbili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
24 Jun 2020
Morrison afungiwa mechi mbili

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imewafungia Bernard Morrison (Yanga) na Jonas Mkude (Simba) michezo miwili  kila mmoja pamoja na faini ya shilingi lakini tano (500,000) kutokana na vitendo ambavyo si vya kiungwana.

Adhabu hiyo inaanza mara moja kuanzia leo

Morrison amekumbana na adhabu hiyo baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons wakati kiungo wa Simba Jonas Mkude yeye alifanya hivyo kwa mchezaji wa Biashara United

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
6h ago
READ MORE →
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
11h ago
READ MORE →
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
15h ago
READ MORE →
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
16h ago
READ MORE →
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
16h ago
READ MORE →
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
17h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE →
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE →
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE →
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE →