Uongozi wa klabu ya Yanga umekemea matukio ya baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo kuzomea, kuwatukana wachezaji na wengine kupigana wenyewe kwa wenyewe yaliyofanywa jana baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana

ADVERTISE HERE