Morrison awaomba radhi wachezaji Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jun 2020
Morrison awaomba radhi wachezaji Yanga

Winga Bernard Morrison leo alikuwa sehemu ya wachezaji wa Yanga walioanza maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa Taifa

Kabla ya kuanza mazoezi, Mghana huyo alipewa nafasi ya kuwaomba radhi wachezaji wenzake baada ya kukosa safari ya mkoani Shinyanga na Dodoma kwa kile alichoeleza kusumbuliwa na maumivu ya kidole cha mguu

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael alimtaka Morrison kuwaomba radhi wenzake kabla ya kujumuika kwenye mazoezi ya timu

Sasa atakuwa sehemu ya kikosi kitakachoivaa Azam Fc Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’