Uongozi wa klabu ya Yanga umeeleza kusikitishwa na tukio lililofanywa na beki Lamine Moro kwa kumpiga teke kiungo wa JKT Tanzania Mwinyi Kazimoto
Mghana huyo atakatwa Tsh Milioni moja katika mshahara wake licha ya kuwa ameomba radhi

ADVERTISE HERE