Kuelekea mchezo wa ligi kuu kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga ambao utapigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma, mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo huo
Uwanja wa Jamhuri 'umetapika' mapema tu saa nane mchana
Mchezo unatarajiwa kupigwa saa kumi Alasiri


ADVERTISE HERE