Wadhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya GSM, wameongeza 'uzito' wa kitita cha fedha za hamasa kuelekea mchezo dhidi ya JKT Tanzania
Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said amethibitisha kuwa Mil 15 iko mezani kwa ajili ya ushindi wa mchezo wa leo
Hersi amesema mzigo utaendelea kuongezeka kutegemea na mchezo husika
ADVERTISE HERE