Michuano ya kombe la Mapinduzi inayofanyika kila mwaka visiwani Zanzibar inatarajiwa kuanza Januari 02 hadi Januari 13.
Yanga iliyofika nusu fainali na kutolewa na Simba kupitia changamoto ya mikwaju ya penati mwaka jana, imethiitisha itashiriki michuano hiyo mwaka huu.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema uongozi ulipokea barua ya mwaliko kutoka chama cha soka visiwani Zanzibar (ZFA) na tayari wameshajibu barua hiyo kuwa Yanga itashiriki michuano hiyo inayopamba shamrashamra za kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar.

ADVERTISE HERE