Nyota wa Yanga washindwe wenyewe tu kwani wadhamini kampuni ya GSM imeendelea kuhakikisha wanapata kila wanachotaka pamoja na kuhamasika kutimiza majukumu yao
Wakiwa mkoani Dodoma ambako kesho Jumatano watashuka uwanja wa Jamhuri kuikabili JKT Tanzania, wachezaji wa Yanga leo wamepewa ofa ya kwenda kufanya manunuzi katika duka la GSM lililoko mkoani Dodoma




ADVERTISE HERE