Baada ya kupata nafasi ya kutembelea Bunge la Tanzania jana asubuhi, jioni kikosi cha Yanga kilianza maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma
Mazoezi yalifanyiwa uwanja wa Shule ya John Maelin yakisimamiwa na Kocha Mkuu Luc Eymael ambaye tangu aliporejea, ari ya timu imeonekana kuwa juu
Leo Yanga itafanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Jamhuri




ADVERTISE HERE