Leo ilikuwa siku ya furaha kwa wachezaji wa Yanga ambao walipata Mwaliko kutembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni heshima kubwa kwao kupata nafasi hiyo, kwani hutokea mara chache sana. Hii inawapa taswira halisi ya ukubwa wa klabu ya Yanga
Wachezaji walionekana kuwa na nyuso za furaha muda wote wakati wakiwa ndani ya viunga vya Bunge la Tanzania





ADVERTISE HERE