Yanga kutinga bungeni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jun 2020
Yanga kutinga bungeni

Kikosi cha Yanga, kimepata mwaliko rasmi kutoka bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Yanga iko mkoani Dodoma ambapo siku ya Jumatano, watashuka kwenye uwanja wa Jamhuri kuumana na JKT Tanzania

Jiji la Dodoma limezizima kwa furaha tangu jana, kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria kilipowasili

Kwa mara nyingine, Yanga imepewa heshima kubwa kwa mwaliko huo utakaowapa wachezaji na viongozi fursa ya kuhudhuria kikao cha bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’