Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Dodoma tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa Jumatano June 17 2020
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi Makao Makuu ya nchi kuwalaki mabingwa hao wa kihistoria



ADVERTISE HERE