Yanga yaianza safari ya Dodoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2020
Yanga yaianza safari ya Dodoma

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui Fc hapo jana, kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Shinyanga kuelekea Dodoma ambako kinakabiliwa na mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa siku ya Jumatano

Mchezo huo unaopigwa makao mkuu ya nchi, utakuwa mbashara kwenye dimba la Jamhuri

Ni alama nyingine tatu ambazo Yanga imedhamiria 'kusepa' nazo Dar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18m ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
23h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’