Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael anatarajiwa kuungana na kikosi cha Yanga mkoani Shinyanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc siku ya kesho
Eymael amepaa mapema leo kuelekea mkoani Mwanza ambako ataunganisha moja kwa moja kuelekea Shinyanga
Kinara wa mabao kwenye kikosi cha Yanga David Molinga na Afisa Mhamasishaji Antonio Nugaz wameambana na Mbelgiji huyo kwenda kuongeza nguvu
ADVERTISE HERE