Yanga yawasili Shinyanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jun 2020
Yanga yawasili Shinyanga

Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Shinyanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa Jumamosi katika uwanja wa CCM Kambarage

Hata hivyo mabingwa hao wa kihistoria wamechelewa kufika Shinyanga kuliko ilivyotarajiwa kutokana na changamoto walizokutana nazo njiani

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Dominic Albinus ambaye ndiye aliyekuwa kiongozi wa msafara, amesema walipata changamoto Manyoni mkoani Singida baada ya basi lao kupasuka gurudumu la mbele

Aidha amewashukuru mashabiki wa klabu hiyo mkoani Shinyanga ambao wameisubiri timu tangu Alfajiri

Mabingwa hao wa kihistoria wanatarajia kuanza mazoezi jioni ya leo Alhamisi tayari kwa mchezo huo wa kwanza baada ya ligi kurejeshwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
28m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’