Kikosi cha Yanga kiko njiani kuelekea mkoani Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa Jumamosi
Mabingwa hao wa kihistoria wameondoka Alfajiri ya leo kwa usafiri wa basi, wakipitia mkoani Dodoma

ADVERTISE HERE