Yanga yafungwa 3-0 na KMC, mchezo wa kirafiki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2020
Yanga yafungwa 3-0 na KMC, mchezo wa kirafiki

Kikosi cha Yanga leo kimeonja joto ya jiwe baada ya kuchapwa mabao 3-0 na KMC katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Uhuru

Vijana wa Yanga hawakuwa na mchezo mzuri hasa kwenye kipindi cha kwanza, wakiruhusu mabao mawili kupitia kwa Sadala Lipangwile na Charles Ilanfya

Kipindi cha pili kidogo vijana wa Mkwasa walizinduka lakini hata hivyo wakajikuta wanaruhusu bao la tatu lililofungwa na Hassan Kabunda kupitia mpira wa adhabu

Matokeo hayo ni ujumbe kwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji kuwa wana kazi ngumu ya kufanya vizuri kwenye mechi zilizobaki kama mambo hayatabadilika

Kwani kwa kiwango walichoonyesha kwenye mchezo huo, hakika kazi haitakuwa rahisi

Benchi la ufundi lina wiki moja ya kusahihisha makosa kabla ya mchezo wa ligi dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa Juni 13 mkoani Shinyanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’