Maelekezo yametolewa kwa mashabiki wote wanaoelekea uwanja wa Uhuru kushuhudia mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya KMC ambao utapigwa saa kumi jioni, ni lazima wavae barakoa, bila ya hivyo hutaruhusiwa kuingia uwanjani
Aidha katika mageti ya kuingilia uwanjani, kutakuwa na sehemu zenye vitakasa mikono kwa ajili ya mashabiki kunawa
Ukaaji wa majukwaani pia, washabiki wametakiwa kuweka umbali (angalau mita moja) uliopendekezwa
ADVERTISE HERE