Ikiwa sehemu ya mazoezi, leo asubuhi kikosi cha Yanga kilicheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Dar City
Mabingwa hao wa kihistoria wameibuka na ushindi wa mabao 2-0, mabao yakiwekwa kimiani na Mohammed Issa 'Banka' na Adeyum Saleh
Ilikuwa kazi nzuri ya mawinga Erick Kabamba na Juma Mahadhi ambao walitengeneza mabao hayo
Kesho Jumapili Yanga itakuwa na mchezo mwingine rasmi wa kirafiki dhidi ya KMC
ADVERTISE HERE