Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na program za mazoezi chini ya kocha msaidizi Charles Mkwasa
Mazoezi hayo ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC ambao utapigwa uwanja wa Uhuru siku ya Jumapili Juni 07



ADVERTISE HERE