Jana jioni kikosi cha Yanga kilipimana na nguvu na Transit Camp katika mchezo ambao ulipigwa uwanja wa Chuo cha Sheria
Mchezo huo uliokuwa wa kwanza kujipima tangu mabingwa hao wa kihistoria warejee 'mzigoni', uliwashuhudia wakiibuka na ushindi wa mabao 3-1
Mabao ya Yanga yaliwekwa kambani na Bernard Morrison, Feisal Salum na Mrisho Ngasa




ADVERTISE HERE