Bodi ya ligi imefanya mabadiliko madogo ya ratiba ya michezo ya kombe la Shirikisho (ASFC) ambapo mchezo kati ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar uliokuwa umepangwa kupigwa Juni 28, umesogezwa mbele na sasa utapigwa Juni 30
Aidha mabadiliko hayo yameathiri ratiba ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ndanda Fc ambao umerudishwa nyuma mpaka Juni 27
Awali mchezo huo ulipangwa kupigwa Julai 01, 2020
ADVERTISE HERE