Yanga kujipima na KMC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jun 2020
Yanga kujipima na KMC

Juni 13 Yanga itaelekea mkoani Shinyanga kuumana na Mwadui Fc katika mchezo wa kwanza baina ya timu hizo msimu ambao pia utakuwa ni wa ufunguzi wa ngwe ya lala salama ligi kuu ya Vodacom

Benchi la ufundi la Yanga chini ya kocha Msaidizi Charles Mkwasa walipendekeza kucheza mechi za kirafiki kujiweka sawa kabla ya kuanza kwa mikikimikiki ya ligi

Habari njema ni kuwa uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa mabingwa hao wa kihistoria watashuka uwanja wa Uhuru Jumapili, Juni 07 kuumana na KMC

Mkurugenzi wa mashindano klabu ya Yanga Thabiti Kandoro, amesema Yanga itajipima na wababe hao kutoka Kinondoni ikiwa ni sehemu ya program za Mwlaimu kuiweka sawa timu kabla ya kwenda mkoani Shinyanga

Amesema awali walikuwa na mpango wa kucheza angalau mechi mbili za kirafiki lakini kutokana na ufinyu wa muda, watacheza mchezo huo mmoja

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’