Kikosi cha Yanga chini ya kocha Msaidizi Charles Mkwasa, leo kimeanza rasmi program ya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mechi za ligi kuu zinazoanza Juni 13
Ratiba ya ligi hiyo ikiwa imetolewa leo, Yanga inaanzia mkoani Shinyanga kucheza mchezo wa kiporo dhidi ya Mwadui Fc
Baada ya program ya awali waliyoifanya wiki iliyopita ambayo ilikuwa maalum kuwaweka wachezaji sawa baada ya kukaa zaidi ya miezi miwili bila ya kucheza mpira, leo wameanza rasmi mazoezi ya mbinu



ADVERTISE HERE