Ligi kurejea kwa utaratibu wa kawaida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 May 2020
Ligi kurejea kwa utaratibu wa kawaida

Serikali imeruhusu ligi zilizokuwa zikichezwa kwa mfumo wa nyumbani na ugenini, zinaweza kurejea kwa kutumia utaratibu huohuo

Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Serikali Dk Hassan Abbas mapema leo, imefuta utaratibu wa mechi kuchezwa katika kituo kimoja (Dar es salaam na Mwanza) kama ilivyopendekezwa awali

"Serikali inaruhusu ligi za soka ambazo kikanuni zinatakiwa kucheza nyumbani na ugenini, utaratibu huo wa nyumbani na ugenini badala ya kituo kimoja uendelee kutumika, " amesema Dk Abbas ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara Ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo

Hivyo ni rasmi mechi zilizosalia ligi kuu zitapigwa katika mfumo wa nyumbani na ugenini

Aidha Serikali pia imeruhusu mashabiki kuingia uwanjani kwa angalau nusu ya uwezo wa viwanja pale inapobidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’