Bodi ya Ligi Kuu imetoa taarifa kuwa Ratiba ya mechi zilizobaki Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili, itatolewa kesho Jumatatu Juni 01 2020, saa nne asubuhi
Awali Bodi hiyo ilitangaza kuwa ratiba hiyo ingetolewa leo

ADVERTISE HERE