Mlinda lango wa Yanga Farouq Shikhalo amerejea nchini kujiunga kikosi cha timu hiyo ambacho kilianza maandalizi ya kukamilisha msimu Jumatano iliyopita
Shikhalo alikwama huko Kenya ambako Serikali bado imefunga mipaka kutokana na janga la corona
Amefanikiwa kurejea nchini jana na moja kwa moja kuanza mazoezi baada ya kufanyiwa vipimo
Kurejea kwa Shikhalo kunakamilisha idadi ya wachezaji wote wa Yanga kuwa wameingia kambini
Kwa sasa ambao bado hawajawasili ni kocha mkuu Luc Eymael na kocha wa viungo Riedoh Berdien
ADVERTISE HERE