Kikwete kushuhudia Yanga, La Liga 'wakisinya'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 May 2020
Kikwete kushuhudia Yanga, La Liga 'wakisinya'

Rais Mstaafu Awamu ya Nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa kushudia tukio la klabu ya Yanga na La Liga kusaini mkataba unaoashiria ufunguzi wa mchakato wa Mabadiliko mfumo wa uendeshaji mabingwa hao wa kihistoria

Hafla hiyo ya kihistoria itafanyika Serena Hotel kuanzia saa 12 jioni ya leo

Dk Kikwete ni Mwanayanga kwelikweli ameshiriki matukio mengi yanayoihusu klabu hiyo, mara ya mwisho akishiriki tukio la Kubwa Kuliko lililofanyika mwaka uliopita

Kikwete amewahi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Usajili katika klabu ya Yanga miaka ya 70

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’