Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha program ya kwanza ya mazoezi waliyoanza tangu siku ya Jumatano waliporejea kuendela na majukumu yao
Taarifa iliyotolewa na mabingwa hao wa kihistoria, imebainisha kuwa wachezaji wataanza program nyingine ya mazoezi siku ya Jumatatu
Aidha kesho Jumapili wachezaji wamepewa mapumziko, watakuwa sehemu ya mashuhuda wa tukio la kihistoria la kusainiwa mkataba kati ya Yanga na La Laliga katika hafla ya ufunguzi wa mchakato wa mabadiliko







ADVERTISE HERE