Makonda apongeza Mabadiliko Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 May 2020
Makonda apongeza Mabadiliko Yanga

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda ni miongoni mwa wageni walioalikwa kuhudhuria hafla ya kusainiwa mkataba wa ushirikiano kati ya Yanga na La Liga ambao unafungua ukurasa wa mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga

Hafla hiyo itafanyika kesho Jumapili, May 31 Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam

Makonda ambaye anafahamika kuwa mdau mkubwa wa klabu ya Simba, amesema tukio hilo linakwenda kufungua ukurasa mpya kwa klabu ya Yanga

"Hongera sana klabu ya Yanga Safari ya kuelekea mabadiliko ya uendeshaji wa klabu inakwenda kuanza rasmi"

"Safari hii ina maslahi mapana kwa maendeleo sio tu katika sekta ya michezo bali maendeleo ya kijamii na Utalii kwa ujuml"

"Hususan kwa ushirikiano huu na wenzetu wa LA LIGA kutokea nchini Hispania. Tunawaunga mkono na kuwatakia kila la heri katika safari hii yenye TIJA kubwa katika taifa letu," ameandika Makonda kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’