Mwili wa aliyewahi kuwa mchezaji na Katibu Mkuu wa Yanga Lawrence Mwalusako unaagwa leo nyumbani kwake Ubungo Kibo jijini Dar es salaam tayari kwa safari yake ya mwisho
Marehemu Mwalusako atasafirishwa kwenda Kyela, Mbeya ambako mazishi yake yatafanyika kesho Alhamisi

Mwenye ez Mungu ampe pumziko la milele, Amen
ADVERTISE HERE