Klabu ya Yanga imeendelea kuibua vyanzo vipya vya mapato kwani baada ya kufanikiwa kuchapisha jarida la klabu kila mwezi, sasa iko mbioni kukamilisha uchapishaji wa kalenda.
Kalenda hiyo ya mwaka 2018 itaanza kupatikana hivi karibuni. Hii ni nafasi nyingine kwa wanachama na mashabiki wa Yanga kupambana 'sebule' zao na kalenda ya Yanga.
Afisa habari wa Yanga Dismas Ten amesema uongozi umejipanga kuhakikisha kalenda hiyo itapatikana kila pembe ya Tanzania.

ADVERTISE HERE