Msuva anaweza kutimkia Morocco

Admin By Admin
•
30 Jun 2017
Msuva anaweza kutimkia Morocco
Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha kufanya mazungumzo na klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki ligi kuu nchini Morocco ikitaka kumsajili winga Simon Msuva.

Timu hiyo ambayo awali ilitaka kutumia njia za panya kumnasa Msuva, imekubali kukaa mezani na uongozi wa Yanga na sasa mazungumzo baina ya pande mbili yamefikia pazuri.

Akizungumza kupitia Kipindi cha Spoti Hausi kinachorushwa na Globaltv Online, Kaimu Mkuu wa Kitendo cha Habari cha Yanga, Godlisten Anderson ‘Chicharito’, amesema kuwa wao kama uongozi wa Yanga wanaendelea ambapo kuna asilimia 85 za Msuva kuondoka ndani ya kikosi cha Yanga.

“Ndani ya muda mfupi kila kitu kuhusiana na suala la Msuva kwenda Morocco kitakuwa wazi ambapo kwa sasa viongozi wanaendelea kulishughulikia kuhakikisha Msuva anaenda kukipiga nchini humo.

“Kuna asilimia 85 ya yeye kuondoka na tayari tumeshawaandaa baadhi ya wachezaji kuziba pengo lake pale atakapoondoka ambapo kuna wachezaji kama Juma Mahadhi wanaweza kuziba nafasi yake pale atapoondoka,” alisema Chicharito.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE →
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE →
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE →
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE →
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE →
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE →
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE →
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE →
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE →