Klabu ya Yanga na familia ya soka nchini imepata pigo kufuatia kifo cha Lawrence Mwalusako mchezaji wa zamani wa Yanga, timu ya Taifa na vilabu mbalimbali nchini
Mwalusako pia amewahi kuhudumu kama Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga wakati wa uongozi wa Mwenyekiti Imani Madega mwaka 2012
Tunatoa pole kwa familia yake, Mwenye ez Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
ADVERTISE HERE