Yanga tayari kurejea mazoezini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 May 2020
Yanga tayari kurejea mazoezini

Baada ya Serikali kuruhusu timu kuanza mazoezi ya pamoja, uongozi wa klabu ya Yanga umesema wachezaji wao wako tayari kuanza mazoezi hayo

Aidha kocha Luc Eymael anatarajiwa kutuma program yake ya mazoezi ambayo yatakuwa chini ya kocha Charles Mkwasa wakati mchakato wa yeye kurudi ukiendelea

Habari njema kwa upande wa kikosi ni kuwa mabingwa hao wa kihistoria watamkosa nyota mmoja tu Farouk Shikhalo ambaye yuko kwao Kenya

Msemaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz, amesema timu inaweza kuanza mazoezi kwa kufuata maelekezo ya Mwalimu lakini pia watachukua tahadhari kwa kutambua Afya za Wachezaji pamoja na benchi la ufundi

"Tunaweza kumkosa mchezaji mmoja tu (Shikhalo) ndio hayupo lakini wachezaji wengine wote wa kigeni wapo nchini. Timu itaanza mazoezi kwa maelekezo ya mwalimu huku watu wetu wa afya wakishughulikia suala la kutambua afya za wachezaji na benchi la ufundi ili kuhakikisha tunaendelea vyema na ligi kama ilivyotangazwa," amesema Nugaz

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’