Kabwili ajipanga kurejea kivingine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 May 2020
Kabwili ajipanga kurejea kivingine

Mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili amejipanga kurejea kivingine pale kipenga cha ligi kuu kitakapopulizwa kwa ajili ya kumalizia msimu

Msimu huu tangu ulipoanza, Kabwili hajapata nafasi ya kucheza mechi yoyote ya kimashindano, pengine kocha Luc Eymael anaweza kumpa nafasi kwenye mechi 11 zilizobaki

Kipa huyo kinda, ametumia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kuwaomba ushauri wadau na mashabiki wa Yanga

"Maisha yanaenda kasi hebu tuchonge jambo kabla ya ligi kuanza unatamani nini kutoka kwangu ligi ikianza..?, " aliandika Kabwili

Pengine ushauri muhimu sana kwake ni kuhakikisha anaongeza juhudi na bidii ili kuweza kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Njia sahihi ya kulinda kipaji chake ni kuhakikisha anacheza mara kwa mara

Huu ni msimu wa tatu yuko Yanga, nafasi yake bado ipo muhimu ni kuhakikisha anashawishi benchi la ufundi ili apate nafasi ya kucheza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’