Tegete ajivunia rekodi ya kuwafunga Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 May 2020
Tegete ajivunia rekodi ya kuwafunga Simba

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Jerson Tegete ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya Alliance Fc, ndiye anayeshikilia rekodi ya kufunga mabao mengi katika mechi za watani wa jadi katika kipindi cha muongo mmoja uliopita

Mwamba huyo kutoka Kanda ya Ziwa pale jijini Mwanza, aliweka kambani mabao matano katika mechi dhidi ya Simba kati ya mwaka 2010-15

Kwenye ligi Tegete aliwafunga Simba mara nne huku bao moja akilifunga kwenye michuano ya kombe la Tusker

Tegete ni mmoja wa washambuliaji wazawa ambao wanaweza kubaki katika kumbukumbu za klabu ya Yanga kutokana na umahiri wake katika kuzifumania nyavu

Sio mchezaji mwenye makeke mengi, lakini enzi zake hakufanya makosa alipopata nafasi langoni

Msimu huu ameifungia Alliance Fc mabao matatu, bado ni mchezaji anayeonekana kuwa na kiu ya kufanya mambo makubwa licha ya umri wake kumtupa mkono

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’