Ngasa atajwa kuwa mchezaji bora wa muda wote Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
13 May 2020
Ngasa atajwa kuwa mchezaji bora wa muda wote Stars

Maoni yaliyokusanywa na mtandao wa Goal  yamebainisha  kuwa wasomaji wengi wa mtandao huo wanaamini kuwa winga wa Yanga Mrisho Ngasa ndiye mchezaji bora wa Taifa Stars mpaka sasa

Mtandao huo umeonyesha kuwa Ngasa ni mchezaji mkubwa zaidi kuwahi kutokea katika nchi ya Tanzania kwani alijizolea asilimia 64.28 ya kura zilizopigwa na kumfanya kuendelea kuongoza kwenye orodha ya wakongwe wa Tanzania

Ngasa alianza kuichezea Stars 2005 ambapo alicheza michezo 100 ya kimataifa na kufunga magoli 25

Licha ya Mbawana Samatta na Simon Msuva kuonekana kuwa ni washambuliaji hatari kwa sasa, lakini hawakufua dafu kwa Ngasa

Samatta ambaye ni nahodha wa Taifa Stars, anashikilia rekodi ya kuwa nahodha wa pili kuiongoza Stars kufuzu mashindano ya mataifa ya Afrika (Africon) tangu 1980

Msuva anaeshikilia rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza kufunga bao kwenye michuano ya Africon 2019 hakupata kura hata moja kutoka kwa wasomaji wakati Samatta alishika nafasi ya pili kwa asilimia 32.14 nyuma ya Ngasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6m ago
READ MORE →
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
31m ago
READ MORE →
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
39m ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →