Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa beki kisiki wa Yanga Lamine Moro
Ukizungumzia usajili bora uliofanywa na Yanga katika miaka ya hivi karibuni, Moro ni miongoni mwao
Ndiye mlinzi aliyecheza mechi nyingi zaidi kwenye kikosi cha Yanga msimu huu
Kazi yake nzuri uwanjani imewashawishi mabosi wa Yanga kumuongeza mkataba mwingine ambao utamuweka Jangwani mpaka mwaka 2023
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
Happy Birthday Lamine...!
ADVERTISE HERE