Sarpong afunguka tetesi za kuwaniwa na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2020
Sarpong afunguka tetesi za kuwaniwa na Yanga

Mshambuliaji wa zamani wa Rayon Sports Michael Sarpong amekiri ni kweli kuna mazungumzo yamefanyika kati ya wakala wake na Yanga, lakini bado hajafanya maamuzi

Hivi karibuni kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael alifichua kuwa Sarpong ni miongoni mwa wachezaji anaowahitaji kwenye kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao

Nyota huyo raia wa Ghana mwenye umri wa miaka 23, amesema amepokea ofa kutoka timu nyingine, hivyo atahitaji muda ili afanye tathmini kabla ya kuamua

"Ni kweli, Yanga walinikaribia tukazungumza lakina sijachakua uamuzi. Nina ofa nyingi, napaswa kwanza nitulie tutafanya mambo kwa utulivu. Wakala wangu atamaliza kazi," amesema

Sarpong mkataba wake ulivunjwa na Rayon Sports mwezi uliopita baada ya kuingia kwenye mtafaruku na viongozi wa timu hiyo

Hata hivyo alikuwa mwishoni mwa makataba wake wa miaka miwili ambao ulikuwa umalizike mwishoni mwa msimu

Aliifungia Rayon mabao 24 katika misimu miwili aliyoitumikia timu hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’