Hatma yangu iko mikononi mwa Lwandamina - Haji Mwinyi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Nov 2017
Hatma yangu iko mikononi mwa Lwandamina - Haji Mwinyi
Tangu kuanza kwa msimu huu beki wa Yanga, Haji Mwinyi hajacheza mechi hata moja, kitu alichokitafsiri kama Mungu huenda hajaamua mwaka huu acheze.

Mwinyi alikuwa na namba ya kudumu katika kikosi cha Yanga wakati wa kocha Hans Pluijm msimu uliopita, lakini ujio wa beki Gabriel Michael kutoka Azam umeifanya nafasi yake ya kucheza kuwa ndogo.

Haji alisema kutopangwa kwake, hakumfanyi aacheze bidii ya kujituma katika mazoezi, akiamini muda ukifika wa kupangwa na kocha wake Mzambia George Lwandamina ataonyesha uwezo wake.

"Binafsi najiona nipo fiti, ila uamuzi ya mwisho yapo kwa kocha mwenyewe kumtumia mchezaji anayemuona anafaa kwa ajili ya mafanikio ya timu, naendelea kujituma ipo siku moja tu, nitafanikiwa," alisema

Amekiri kwamba mchezaji asipocheza ina mpunguzia kujiamini na ushindani kwa madai mazoezi ya timu tofauti na wanapokutana na wapinzani.

"Huu mwaka, umekuwa mgumu ila siwezi kupinga mipango ya Mungu, soka kwangu ni kazi inayofanya niendeshe maisha yangu, nahitaji kuiboresha ili iwe na kiwango cha juu zaidi,"alisema Mwinyi.

MCL
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’