Daktari wa timu ya Yanga, Dk Edward Bavu amesema wachezaji Thabani Kamusoko na Amissi Tambwe hali zao zimeimarika japo si kwa asilimia 100.
Dk Bavu amesema huenda wachezaji hao wakarejea rasmi kikosini Novemba 09 wakiwa wamepona kabisa.
Kamusoko amekuwa nje ya uwanja wa takribani wiki nne wakati Tambwe bado hajacheza mchezo wowote msimu huu.

ADVERTISE HERE