Busungu atamba kurejea upya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 May 2020
Busungu atamba kurejea upya

Unamkumbuka Malimi Busungu yule mshambuliaji aliyeitumikia Yanga kati ya mwaka 2014 na 2017 ambaye alisajiliwa kutoka klabu ya Mgambo Shooting? Ametangaza kurejea tena dimbani

Tangu mwaka 2018 Busungu alipotea kwenye soka suala la ulevi uliopindukia ikitajwa kuwa sababu ya kutoonekana kwake

Busungu amedai bado anao uwezo hivyo ameanza rasmi mazoezi kujiandaa na msimu ujao wa ligi kuu

"Nimekuwa nje kwa muda lakini nafuatilia kile kinachoendelea kwenye ligi. Nimejiridhisha naweza kufanya vizuri pengine kuliko hata washambuliaji wengi ambao wanalipwa mishahara mikubwa lakini uwezo wao ni mdogo," amesema

Septemba 27 2015, Busungu aliingia kwenye orodha ya wachezaji waliotupia mabao kwenye dabi ya Kariakoo alipowafunga Simba katika mchezo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-0

Suala la ulevi na matatizo mengi ya nje ya uwanja yalipelekea nyota huyo kupotea kwenye ramani ya soka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’