Rostam aiwezesha Zanzibar mashine ya kupima Corona

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 May 2020
Rostam aiwezesha Zanzibar mashine ya kupima Corona

Mfanyabiashara Rostam Aziz ambaye moja ya kampuni zake (Taifa Gas) inadhamini klabu ya Yanga, ametoa msaada wa mashine ya kupima maambukizi ya virusi vya COVID-19 kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mara baada ya kupokea ombi la serikali hiyo

Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam, Rostam amesema mashine hiyo ipo tayari na inaweza kufungwa Zanzibar wiki ijayo

Rostam amesema mashine hiyo ikifungwa itaharakisha upimaji wa virusi vya COVID-19 ambapo awali sampuli za washukiwa zilikuwa zikitumwa jijini Dar es salaam kwa ajili ya kupimwa

Amesema mashine hiyo itakuwa na uwezo wa kupima mpaka sampuli 400 kila baada ya masaa 3

Rostam amekuwa mstari wa mbele kutoa misaada mbalimbali katika jitihada za mapambano ya ugonjwa corona ambao ni tishio duniani kote

Serikali imewata wafanyabishara na kila mwenye uwezo kusaidia kwa kuchangia mapambano hayo

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’