Mkuu wa kitengo cha Afya FIFA ashauri ligi zirejee Septemba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2020
Mkuu wa kitengo cha Afya FIFA ashauri ligi zirejee Septemba

Afisa Mkuu wa FIFA anaeshughulika na mambo ya Afya Dr Michel D'Hooghe amesema haoni kama ligi mbalimbali duniani zitarejea kabla ya Mwezi September Mwaka huu

Dk Michel amesema pamoja na juhudi zinazofanyika katika nchi mbalimbali ili ligi hizo zirejee kutokana na hofu la anguko la kiuchumi kwa vilabu, lakini anaona kulinda afya ndio jambo muhimu zaidi kupindi hiki

"Naona juhudi zinafanyika ili ligi ziweze kuendelea kwa kuhofia anguko la kiuchumi kwa vilabu na mashirikisho, lakini tunapaswa kuliangalia suala la afya na uhai kwa ukaribu zaidi kuliko suala la pesa"

"Ni kweli Kuna Wakati tulitakiwa tuchague pesa au afya na upande wa Pesa ukashinda lakini kwa Sasa naamini upande wa Afya na Uhai utashinda," amesema

Dunia iko katika taharuki kubwa juu ya kuenea kwa Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19 na Michezo mbalimbali Duniani ikisimama

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’