Uongozi wa klabu ya Yanga umesema uzinduzi wa Jarida utafanyika kesho Alhamisi, Saa nne asubuhi Makao Makuu ya klabu hiyo, Jangwani jijini Dar es salaam
Jarida hilo litakuwa likitoka mara moja kwa mwezi na litapatikana kwa Tsh 5,000/-tu
Kutokana na changamoto ya ugonjwa wa corona, uzinduzi huo utarushwa mbashara kupitia kurasa za Yanga za mitandao ya kijamii
ADVERTISE HERE