FIFA yaidhinisha wachezaji watano wa 'sub'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Apr 2020
FIFA yaidhinisha wachezaji watano wa 'sub'

Kutokana na janga la corona, ligi mbalimbali ambazo zitarejea baada changamoto hiyo kumalizika, zitakuwa na muda mfupi kukamilishwa kabla ya kuanza msimu mwingine

Lakini pia, ligi hizo zitarejea wakati wachezaji wakiwa wametoka kukaa bila kucheza soka la ushindani kwa muda mrefu, kucheza mfululizo inaweza kuwa changamoto

Shirikisho la soka duniani (FIFA) limeiona changamoto hiyo na hivyo kupendekeza timu kuweza kufanya mabadiliko ya mpaka wachezaji watano

Mapendekezo hayo yanasubiri kuidhinishwa na Bodi ya Chama cha soka cha Kimataifa ili kuweza kutumika

Ligi mbalimbali huko Ulaya zinatarajiwa kurejea kuanzia mwezi wa sita ambapo baadhi ya timu zimeanza kuwaruhusu wachezaji kufanya mazoezi binfasi katika viwanja vya vilabu husika

Uingereza wao ligi yao huenda ikaanza Juni 08 na kumalizika mwishoni mwa mwezi wa saba ili kupisha mechi za ligi ya mabingwa zilizobaki ambazo zitapigwa kuanzia mwezi wa nane

Kwa hapa Tanzania bado TFF inasubiri mwongozo wa Serikali, kubainisha nini hatma ya ligi kuu ya Vodacom

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’