Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema klabu hiyo inatarajiwa kuzindua jarida lake siku ya Alhamisi ya wiki hii
Bumbuli amesema zaidi ya 50,000 zitachapishwa ambapo amesema wamejipanga kuhakikisha usambazaji utawafikia watu weng
Jarida hilo litasheni Makala na habari za ndani ya Yanga, lakini pia litakuwa na taarifa za kutosha kwa ajili ya wapenzi wa soka kwa ujumla
Kutakuwa na tokeo la kila mwezi na toleo jingine litakuwa likitoka kila baada ya wiki mbili
ADVERTISE HERE