Tariq aahidi makubwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2020
Tariq aahidi makubwa Yanga

Mshambuliaji wa Yanga Tariq Seif amesema atahakikisha anakuwa na mchango mkubwa katika kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria kila atakapopewa nafasi

Tariq ni miongoni mwa wachezaji waliotua Yanga dirisha dogo. tayari amefunga mabao matatu

Nyota huyo wa zamani vilabu vya Biashara United na Stand United, amesema kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi binafsi kama ilivyo kwa wachezaji wengine wakati huu ligi ikiwa imesimama kutokana na janga la corona

"Nitahakikisha naendelea kufanya vizuri na kufunga kwa kila mchezo ambao nitakuwa napata nafasi ili kuendeleza rekodi yangu ya ufungaji na niweze kuisaidia timu yangu kwenye mashindano yeyote ambayo tutapata nafasi ya kushiriki," amesema

Tariq ameanza na wastani mzuri wa kufunga Yanga kwani mabao yake matatu ameyafunga katika mechi tano alizoshuka dimbani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’