Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mkabaji wa Yanga Abdulaziz Makame 'Bui'
Bui alitua Yanga msimu huu akitokea klabu ya Mafunzo ya visiwani Zanzibar
Alikuwa na mwanzo mzuri kabla ya ujio wa kocha Luc Eymael ambaye amekuwa hamtumii mara kwa mara
Hata hivyo ni mmoja wa wachezaji wenye vipaji, hakuna shaka nafasi yake itaendelea kuwepo Yanga
Happy BirthDay Makame...
ADVERTISE HERE